NALA PROJECT

Dodoma

starts from2,500,000 TZS

Property Brief

Viwanja vimepimwa kwa ukubwa wa kuanzia square meter 500,na bei zetu ni shilingi 5000 kwa square meter moja,umbali ni kilometer 2 kutoka barabara kuu ya Singida, huduma za kijamii zipo na mradi upo jirani na chuo cha afya Deccah na Dodoma Technical Malipo ni kwa awamu mpaka miezi minne.

Location

  • Address : Dodoma
  • Region : DODOMA
  • Country : Tanzania

Booking Now