Madale Mivumoni

Madale

starts from14,000,000 TZS

Property Brief

Mradi unapatikana Madale kilomita 4 kutokea Goba njia nne na kilomita moja na nusu kutoka barabara ya lami karibu na shule ya Atlas, bei zetu ni shilingi elfu thelathini na tano[35,000] kwa square meter na ukubwa vinaanzia square meter 400,500,600 na 700. Huduma zote za kijamii zipo na barabara zinapitika . Malipo yetu ni kwa awamu mpaka miezi 6.

Location

  • Address : Madale
  • Region : Dar Es Salaam
  • Country : Tanzania

Booking Now