Mabwepande/Bunju

Bunju

starts from20,000 TZS

Property Brief

Mradi upo kilomita 6 kutoka Bagamoyo road,unaweza kufika kwa kupitia Bunju A au Bunju B. Mradi upo eneo la tambarare na barabara zinapitika vizuri kabisa. bei yake ni 20000 kwa square meter na ukubwa ni kuanzia square meter 800 na kuendelea. unaweza kulipa kwa awamu mpaka miezi sita.

Location

  • Address : Bunju
  • Region : Dar Es Salaam
  • Country : Tanzania

Booking Now